Kozi Zetu
UFUNDI WA SIMU
Utajifunza Kuflash Simu (Flashing), Kubadilisha Vioo, Kusoma Ramani, Kurekebisha na kubadilisha spear za ndani ya bodi, Kubadilisha mifumo ya sauti, chaji, Kubadili na kusafisha IC (Reballing), Kubadilisha Betri, Kurejesha Data (Data Recovery) N.K
- Muda wa Kozi: Wiki Tatu (3)
- Ada: 100,000 TZS
Ufundi wa TV
Kozi hii inakupa ujuzi wa kutambua na kutengeneza hitilafu za TV, Utajifunza kwa vitendo namna ya kufanya matengenezo na kubadilisha vipuri. 🔹 Faida yake: Uwezo wa kuanzisha karakana yako mwenyewe. Huduma inayohitajika kila siku katika jamii. Kipato cha haraka kwa sababu vifaa hivi vinatumika sana. Ni kozi ya kujiajiri inayokuwezesha kupata kipato hata bila mtaji mkubwa.
- Muda wa Kozi: Wiki Tatu (3)
- Ada: 100,000 TZS
Video Production
Katika kozi hii Utajifunza Uchakataji wa Video, Shooting ya Movie, Uandishi wa Script n.k
- Muda wa Kozi: Wiki tatu (3)
- Ada: 100,000 TZS