Latest Announcements

WEBSITE, SYSTEM, MOBILE APP AND GAME DEVELOPMENT
WEBSITE, SYSTEM, MOBILE APP AND GAME DEVELOPMENT

KOZI HIZI NI 1. WEBSITE AND SYSTEM DEVELOPMENT 2. MOBILE APPLICATION DEVELOPMENT 3. GAMES DEVELOPMENT

Posted on 11 Oct 2026

RATIBA YA KUFUNGA MWAKA 2026
RATIBA YA KUFUNGA MWAKA 2026

RATIBA YA MASOMO YOTE YA CHUO TAREHE ZA KUANZA NA KUMALIZA

Posted on 11 Oct 2026

ADVANCED WEBSITE AND SYSTEM DEVELOPMENT
ADVANCED WEBSITE AND SYSTEM DEVELOPMENT

KUANZIA TAREHE 12 OCTOBER HADI 10 NOVEMBER

Posted on 11 Oct 2026

KOZI ZA MWEZI WA SEPTEMBER
KOZI ZA MWEZI WA SEPTEMBER

Utajifunza Kuflash Simu (Flashing), Kubadilisha Vioo, Kusoma Ramani, Kurekebisha na kubadilisha spear za ndani ya bodi, Kubadilisha mifumo ya sauti, chaji, Kubadili na kusafisha IC (Reballing), Kubadilisha Betri, Kurejesha Data (Data Recovery) N.K Hostel ni Bure.

Posted on 25 Aug 2026

KOZI ZA ONLINE
KOZI ZA ONLINE

Simiyu Institute of Technology inawatangazia vijana, wanafunzi, wafanyakazi na wote wanaotaka kujifunza teknolojia kuwa usajili wa Kozi za Online umefunguliwa. Jifunze popote ulipo kupitia mtandao kwa ratiba zinazokufaa. 📅 Masomo yanaanza tarehe 03 August 2026 📚 Kozi Zinazotolewa 🌐 Website Development & System Development 📱 Mobile Application Development 🎮 Game Development 💰 Ada: TSh 25,000 tu kwa mwezi (MUDA NI MIEZI MITATU 3)

Posted on 07 Jul 2026

KOZI ZA MWEZI WA NNE
KOZI ZA MWEZI WA NNE

Simiyu Institute of Technology inawatangazia wananchi wote, vijana, wahitimu wa shule na wale wanaotaka kuongeza ujuzi kuwa mafunzo mapya yanaanza rasmi tarehe 20 Aprili 2026 katika kampasi yetu iliyopo Somanda – Bariadi, Simiyu. Taasisi inaendelea kutoa mafunzo ya vitendo na nadharia kwa lengo la kumjengea mwanafunzi uwezo wa kujiajiri au kuajiriwa mara moja baada ya kumaliza kozi.

Posted on 22 Mar 2026

UFADHILI WA MASOMO (50% – 100%)
UFADHILI WA MASOMO (50% – 100%)

Simiyu Institute of Technology (SIT) inatangaza fursa maalum ya ufadhili wa masomo kati ya 50% hadi 100% kwa vijana wenye shauku ya kupata ujuzi wa kisasa na kujenga maisha bora kupitia elimu ya vitendo. Ufadhili huu unalenga kusaidia vijana kupata ujuzi unaohitajika katika soko la ajira na kujiajiri, hasa katika sekta za teknolojia na ufundi. ⚠️ Nafasi ni chache — wanafunzi 50 tu watapata fursa hii. Kozi Zinazopatikana SIT inatoa mafunzo ya vitendo katika kozi zifuatazo: Computer Application Graphics Designing & Video Production Ushonaji (Tailoring & Fashion Design) Ufundi wa TV, Simu na Redio Kozi hizi zimeandaliwa ili kumwezesha mwanafunzi kupata ujuzi wa moja kwa moja unaoweza kumsaidia kupata ajira au kuanzisha biashara yake mwenyewe. Mwisho wa kutuma Maombi ni tarehe 25 March 2026

Posted on 12 Mar 2026

🎓 FURSA YA UDHAMINI WA MASOMO APRIL 2026
🎓 FURSA YA UDHAMINI WA MASOMO APRIL 2026

Simiyu Institute of Technology inatoa fursa maalum ya udhamini wa masomo kwa vijana wenye ndoto ya kupata ujuzi wa vitendo lakini wanakabiliwa na changamoto za kifedha. Lengo la udhamini huu ni kusaidia vijana wenye bidii na malengo ya kujitegemea kupitia elimu ya ufundi na teknolojia. 📌 Udhamini Unahusisha: Kupunguziwa au kulipiwa ada ya mafunzo Nafasi ya kujifunza kwa mazingira bora Ushauri na uongozi wa kitaaluma 📚 Kozi Zinazohusika: Ufundi wa Simu, Redio na TV Ushonaji Graphics Designing & Video Production English Course Computer Application 📝 Vigezo vya Kuomba: Awe tayari kuanza masomo mara moja Awe na nia ya dhati ya kujifunza Awasilishe maombi rasmi (barua ya maombi) Kwa waombaji wa hostel: kama hawezi kukaa kwa ndugu, awe tayari kuchangia gharama ya malazi 📅 Maombi yapo wazi kwa muda maalum – wahi kuwasilisha mapema. 📍 Mahali: Somanda – Bariadi, Simiyu 📞 Mawasiliano: 0769 048 216 🌐 Omba kupitia: www.smyit.co.tz 🎯 Hii ni nafasi yako ya kubadilisha maisha yako kupitia ujuzi. Simiyu Institute of Technology – Elimu kwa Maendeleo.

Posted on 02 Mar 2026

MAFUNZO YANAANZA 06/04/2026 – JIUNGE NA KOZI ZETU SASA
MAFUNZO YANAANZA 06/04/2026 – JIUNGE NA KOZI ZETU SASA

Simiyu Institute of Technology inawatangazia wananchi wote, vijana, wahitimu wa shule na wale wanaotaka kuongeza ujuzi kuwa mafunzo mapya yanaanza rasmi tarehe 06 Aprili 2026 katika kampasi yetu iliyopo Somanda – Bariadi, Simiyu. Taasisi inaendelea kutoa mafunzo ya vitendo na nadharia kwa lengo la kumjengea mwanafunzi uwezo wa kujiajiri au kuajiriwa mara moja baada ya kumaliza kozi. 📚 Kozi Zitakazoanza: 🔧 Ufundi wa Simu, Redio na TV 👗 Ushonaji (Fashion & Tailoring) 🎨 Graphics Designing & Video Production 🇬🇧 English Course 💻 Computer Application Mafunzo haya yameandaliwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya soko la ajira na yanafundishwa na wakufunzi wenye uzoefu mkubwa. Kwa Nini Uchague Simiyu Institute of Technology? ✅ Mafunzo ya Nadharia na Vitendo ✅ Mazingira bora ya kujifunzia ✅ Vifaa vya kisasa vya mafunzo ✅ Ujuzi wa kujitegemea 📍 Mahali: Somanda – Bariadi, Simiyu 📞 Wasiliana Nasi: 0769 048 216 🌐 Omba Kupitia: www.smyit.co.tz Tunakaribisha maombi ya wanafunzi wapya mapema kabla ya nafasi kujaa. Simiyu Institute of Technology – Jifunze Leo, Tengeneza Kesho yako.

Posted on 02 Mar 2026

📢 TANGAZO LA KUJIUNGA NA KOZI ZA MUDA MFUPI (MIEZI 3)
📢 TANGAZO LA KUJIUNGA NA KOZI ZA MUDA MFUPI (MIEZI 3)

🎓 Simiyu Institute of Technology – Bariadi Je, unataka kujifunza ujuzi wa vitendo utakaokuwezesha kuajiriwa au kujiajiri kwa muda mfupi? Hii ni fursa yako! Simiyu Institute of Technology inatangaza nafasi za kujiunga na kozi zifuatazo: ✅ Computer Application ✅ Graphics Designing and Video Production ✅ Ufundi wa TV, Redio na Simu ✅ Ushonaji (Cherehani) 🎁 UFADHILI UNAPATIKANA! Ufadhili wa masomo kwa asilimia 50% hadi 100% unatolewa kwa waombaji watakaokidhi vigezo. 📌 Masharti: Uthibitishe uwezo wa kulipia hostel Tsh 60,000/= Uweze kujigharamia chakula (kupika au kuweka bili) AU Uthibitishe kuwa una makazi ndani ya Wilaya ya Bariadi. Kozi hizi ni za miezi mitatu tu lakini zinakupa ujuzi wa moja kwa moja wa kuajiriwa au kujiajiri. Usikose nafasi hii ya kubadilisha maisha yako kwa kujifunza ujuzi wenye soko kubwa katika jamii. 📝 Omba sasa – Nafasi ni chache! Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Simiyu Institute of Technology – Bariadi.

Posted on 24 Feb 2026