Simiyu Institute of Technology
Tuma MaombiKozi Zetu
Computer Application
Muda wa Kozi: Wiki tatu (3)
Kozi hii inakupa ujuzi wa kutumia kompyuta kitaalamu kwa kazi za ofisini na biashara. Utajifunza matumizi ya Microsoft Word, Excel, PowerPoint, Internet na Email, pamoja na uandaaji wa nyaraka na takwimu. 🔹 Faida yake: Kuongeza nafasi za ajira ofisini, mashuleni, taasisi binafsi na serikalini. Uwezo wa kuanzisha huduma za typing, printing na internet café. Kujiamini katika matumizi ya teknolojia ya kisasa. Ni kozi muhimu sana kwa zama hizi za kidigitali ambapo karibu kila kazi inahitaji ujuzi wa kompyuta.
Ada: 100,000 TZS
Video Production
Muda wa Kozi: Wiki tatu (3)
Katika kozi hii Utajifunza Uchakataji wa Video, Shooting ya Movie, Uandishi wa Script n.k
Ada: 100,000 TZS
Ufundi wa TV
Muda wa Kozi: Wiki Tatu (3)
Kozi hii inakupa ujuzi wa kutambua na kutengeneza hitilafu za TV, Utajifunza kwa vitendo namna ya kufanya matengenezo na kubadilisha vipuri. 🔹 Faida yake: Uwezo wa kuanzisha karakana yako mwenyewe. Huduma inayohitajika kila siku katika jamii. Kipato cha haraka kwa sababu vifaa hivi vinatumika sana. Ni kozi ya kujiajiri inayokuwezesha kupata kipato hata bila mtaji mkubwa.
Ada: 100,000 TZS
UFUNDI WA SIMU
Muda wa Kozi: Wiki Tatu (3)
Utajifunza Kuflash Simu (Flashing), Kubadilisha Vioo, Kusoma Ramani, Kurekebisha na kubadilisha spear za ndani ya bodi, Kubadilisha mifumo ya sauti, chaji, Kubadili na kusafisha IC (Reballing), Kubadilisha Betri, Kurejesha Data (Data Recovery) N.K
Ada: 100,000 TZS